TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia waziri mkuu wa zamani wa Sudan Sadiq al-Mahdi na kumtaja kuwa muungaji mkono mkubwa wa Palestina aliyepinga uanzishwaji uhusiano wowote na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473399 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/27